വിശുദ്ധ ഖുർആൻ പരിഭാഷ - സവാഹിലി വിവർത്തനം - റുവ്വാദ് തർജമ സെൻ്റർ

external-link copy
103 : 5

مَا جَعَلَ ٱللَّهُ مِنۢ بَحِيرَةٖ وَلَا سَآئِبَةٖ وَلَا وَصِيلَةٖ وَلَا حَامٖ وَلَٰكِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ يَفۡتَرُونَ عَلَى ٱللَّهِ ٱلۡكَذِبَۖ وَأَكۡثَرُهُمۡ لَا يَعۡقِلُونَ

Mwenyezi Mungu hakuweka uharamu wowote juu ya "Bahira" wala "Saiba" wala "Wasila" wala "Hami". Lakini wale waliokufuru ndio humzulia uongo Mwenyezi Mungu, na wengi wao hawatumii akili.[1] info

[1] Al-Bahira ni ngamia jike ambaye sikio lake hukatwa ikiwa atazaa idadi fulani ya ngamia, na As-Sa’iba ni ngamia jike ambaye anapofika umri fulani huachiwa masanamu yao, na Al-Wasiila ni ngamia jike anayezaa jike baada ya jike mwingine, na Al-Haami ni ngamia dume ambaye watazalishwa idadi fulani ya ngamia kutoka kwa mgongo wake. (Al-Mukhtaswar fit-tafsiir)

التفاسير: