വിശുദ്ധ ഖുർആൻ പരിഭാഷ - സവാഹിലി വിവർത്തനം - അബ്ദുല്ലാഹ് മുഹമ്മദ് & നാസ്വിർ ഖമീസ്.

external-link copy
15 : 11

مَن كَانَ يُرِيدُ ٱلۡحَيَوٰةَ ٱلدُّنۡيَا وَزِينَتَهَا نُوَفِّ إِلَيۡهِمۡ أَعۡمَٰلَهُمۡ فِيهَا وَهُمۡ فِيهَا لَا يُبۡخَسُونَ

Yoyote atakaye, kwa matendo yake, maisha ya kilimwengu na starehe zake, tutawapa wao walichogawiwa cha malipo mazuri ya matendo yao katika uhai wa kilimwengu, yakiwa kamili yasiyopunguzwa. info
التفاسير: