ការបកប្រែអត្ថន័យគួរអាន - ការបកប្រែជាភាសាស្វាហុីលី - មជ្ឈមណ្ឌលបកប្រែរ៉ូវ៉ាដ

external-link copy
102 : 3

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ ٱتَّقُواْ ٱللَّهَ حَقَّ تُقَاتِهِۦ وَلَا تَمُوتُنَّ إِلَّا وَأَنتُم مُّسۡلِمُونَ

Enyi mlioamini! Mcheni Mwenyezi Mungu haki ya kumcha, wala msife isipokuwa nyinyi ni Waislamu.[1] info

[1] Haki yake ya kumcha ni kwamba atiiwe wala asiasiwe, na ashukuriwe wala asikufuriwe, na akumbukwe wala asisahauliwe. (Ibn Taymiya)

التفاسير: