ការបកប្រែអត្ថន័យគួរអាន - ការបកប្រែជាភាសាស្វាហុីលី - មជ្ឈមណ្ឌលបកប្រែរ៉ូវ៉ាដ

Al-Falaq

external-link copy
1 : 113

قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلۡفَلَقِ

Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko. info
التفاسير:

external-link copy
2 : 113

مِن شَرِّ مَا خَلَقَ

Kutokana na shari ya alivyoviumba. info
التفاسير:

external-link copy
3 : 113

وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ

Na kutokana na shari ya giza la usiku liingiapo. info
التفاسير:

external-link copy
4 : 113

وَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّٰثَٰتِ فِي ٱلۡعُقَدِ

Na kutokana na shari ya wanaopulizia mafundoni. info
التفاسير:

external-link copy
5 : 113

وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ

Na kutokana na shari ya hasidi anapohusudu. info
التفاسير: