ការបកប្រែអត្ថន័យគួរអាន - ការបកប្រែជាភាសាស្វាហុីលី - អាលី ម៉ុហសុីន អាល់ពើវ៉ានី

external-link copy
67 : 3

مَا كَانَ إِبۡرَٰهِيمُ يَهُودِيّٗا وَلَا نَصۡرَانِيّٗا وَلَٰكِن كَانَ حَنِيفٗا مُّسۡلِمٗا وَمَا كَانَ مِنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ

Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina. info

Hakika Ibrahim a.s. hakufuata dini ya Kiyahudi wala dini ya Kikristo, lakini ameachana na dini zote za upotovu na akashika Dini ya Haki, ya Uislamu, yaani kumwelekea Mwenyezi Mungu, na kumtakasia Yeye kwa ut'iifu, na wala hakuwa miongoni wa hao wanao mshirikisha Mwenyezi Mungu katika kuabudu.

التفاسير: