ការបកប្រែអត្ថន័យគួរអាន - ការបកប្រែជាភាសាស្វាហុីលី - អាលី ម៉ុហសុីន អាល់ពើវ៉ានី

external-link copy
6 : 3

هُوَ ٱلَّذِي يُصَوِّرُكُمۡ فِي ٱلۡأَرۡحَامِ كَيۡفَ يَشَآءُۚ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ

Yeye ndiye anaye kuundeni ndani ya matumbo ya wazazi kwa namna apendayo. Hapana Mungu ila Yeye, Mwenye nguvu na Mwenye hikima. info

Ni Yeye, Mwenyezi Mungu, ndiye anakuundeni, anakupeni sura na hali nyinyi mmo matumboni mwa mama zenu, kwa sura na umbo mbali mbali kama apendavyo Yeye. Hapana Mungu ila Yeye Mwenye nguvu katika ufalme wake, Mwenye hikima katika kuunda kwake.

التفاسير: