ការបកប្រែអត្ថន័យគួរអាន - ការបកប្រែជាភាសាស្វាហុីលី - អាលី ម៉ុហសុីន អាល់ពើវ៉ានី

external-link copy
5 : 24

إِلَّا ٱلَّذِينَ تَابُواْ مِنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَ وَأَصۡلَحُواْ فَإِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ

Isipo kuwa wale walio tubu baada ya hayo na wakatengenea; kwani bila ya shaka Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mwenye kurehemu. info

Lakini mwenye kutubu katika wao akajuta kwa maasi yake, na akaazimia kuwa mt'iifu na kuonyesha ukweli wa toba yake kwa kwenda kwake mwendo mwema, basi Mwenyezi Mungu atamsamehe kumuadhibu.

التفاسير: