ការបកប្រែអត្ថន័យគួរអាន - ការបកប្រែជាភាសាswahili - អាប់ឌុលឡោះ ម៉ូហាំម៉ាត់ និងណាសៀរ ខមុីស

external-link copy
58 : 3

ذَٰلِكَ نَتۡلُوهُ عَلَيۡكَ مِنَ ٱلۡأٓيَٰتِ وَٱلذِّكۡرِ ٱلۡحَكِيمِ

Hayo tuliyokusimulia kuhusu habari ya 'Īsā ni miongoni mwa dalili zilizo wazi za usahihi wa utume wako na usahihi wa Qur’ani yenye hekima inayopambanua baina ya haki na batili; haina shaka wala ubishi. info
التفاسير: