क़ुरआन के अर्थों का अनुवाद - सवाहिली अनुवाद - अली मुहसिन बरवानी

external-link copy
21 : 88

فَذَكِّرۡ إِنَّمَآ أَنتَ مُذَكِّرٞ

Basi kumbusha! Hakika wewe ni Mkumbushaji. [21] info

[21] Basi kumbusha kwa wito wako, kwani kazi yako muhimu ni kufikisha wito tu.

التفاسير: