કુરઆન મજીદના શબ્દોનું ભાષાંતર - સ્વાહિલી ભાષામાં અનુવાદ - અબ્દુલ્લાહ મુહમ્મદ અને નાસિર ખમીસ

Al-Qari'ah

external-link copy
1 : 101

ٱلۡقَارِعَةُ

Kiyama chenye kugonga nyoyo za watu kwa vituko vyake. info
التفاسير:

external-link copy
2 : 101

مَا ٱلۡقَارِعَةُ

Ni kitu gani hiko chenye kugonga? info
التفاسير:

external-link copy
3 : 101

وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا ٱلۡقَارِعَةُ

Na ni lipi lililokujulisha ni kipi hiko chenye kugonga? info
التفاسير:

external-link copy
4 : 101

يَوۡمَ يَكُونُ ٱلنَّاسُ كَٱلۡفَرَاشِ ٱلۡمَبۡثُوثِ

Siku hiyo watu watakuwa , kwa wingi wao, kugawanyika kwao na kuzunguka kwao, ni kama pandzi walioenea. Nao ni wale wanaojitupa motoni. info
التفاسير:

external-link copy
5 : 101

وَتَكُونُ ٱلۡجِبَالُ كَٱلۡعِهۡنِ ٱلۡمَنفُوشِ

Na majabali yatakuwa ni kama pamba yenye rangi tofauti inayochambuliwa kwa mkono ikawa ni mapepe na ikamalizika. info
التفاسير:

external-link copy
6 : 101

فَأَمَّا مَن ثَقُلَتۡ مَوَٰزِينُهُۥ

Basi mwenye kuwa mizani za mema yake ni nzito, info
التفاسير:

external-link copy
7 : 101

فَهُوَ فِي عِيشَةٖ رَّاضِيَةٖ

atakuwa kwenye maisha ya kuridhika Peponi. info
التفاسير:

external-link copy
8 : 101

وَأَمَّا مَنۡ خَفَّتۡ مَوَٰزِينُهُۥ

Ama mwenye kuwa mizani za mema yake ni nyepesi na mizani za maovu yake ni nzito, info
التفاسير:

external-link copy
9 : 101

فَأُمُّهُۥ هَاوِيَةٞ

makazi yake yatakuwa ni Moto wa Jahanamu. info
التفاسير:

external-link copy
10 : 101

وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا هِيَهۡ

Ni lipi lililokujulisha, ewe Mtume, ni ipi hii Jahanamu inayoitwa «Hāwiyah»? info
التفاسير:

external-link copy
11 : 101

نَارٌ حَامِيَةُۢ

Ni Moto unaowaka sana kwa kuni ziliomo ndani yake. info
التفاسير: