Firo maanaaji al-quraan tedduɗo oo - Eggo e ɗemngal Swahili - Ali Muhsin Alberwani.

external-link copy
5 : 3

إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَخۡفَىٰ عَلَيۡهِ شَيۡءٞ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَا فِي ٱلسَّمَآءِ

Hakika Mwenyezi Mungu hakifichiki chochote kwake, duniani wala mbinguni. [5] info

[5] Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu. Kwa hivyo hapana kinacho fichika kwake katika Ardhi na hata katika Mbingu, kikiwa kidogo au kikubwa, kinacho onekana na kisicho onekana.

التفاسير: