Firo maanaaji al-quraan tedduɗo oo - Eggo (nantino) ngo e Swahiliire - Abdullah Muhammad e Naasir Khamis.

external-link copy
69 : 6

وَمَا عَلَى ٱلَّذِينَ يَتَّقُونَ مِنۡ حِسَابِهِم مِّن شَيۡءٖ وَلَٰكِن ذِكۡرَىٰ لَعَلَّهُمۡ يَتَّقُونَ

Na wale Waumini wanaomuogopa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, wakatii amri Zake na wakaepuka makatazo Yake, hawana jaukumu lolote juu ya hesabu ya Mwenyezi Mungu kwa wale wenye kuvama kwenye maneno yasiyofaa, wenye kuzifanyia shere aya za Mwenyezi Mungu. Lakini ni juu yao wawaidhie waache kulete maneno hayo ya batili, kwani huenda wao wakamcha Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka. info
التفاسير: