ترجمهٔ معانی قرآن کریم - ترجمه‌ى سواحلی ـ علی محسن البروانی

external-link copy
20 : 21

يُسَبِّحُونَ ٱلَّيۡلَ وَٱلنَّهَارَ لَا يَفۡتُرُونَ

Wanamtakasa usiku na mchana, wala hawanyong'onyei. [20] info

[20] Wanamtakasa aliye tukuka shani yake na kila lisio muelekea. Kumtakasa huku hakusiti, bali huo ni mtakaso wa daima, hawana shughuli nyengine ya kuwashughulisha.

التفاسير: