আল-কোৰআনুল কাৰীমৰ অৰ্থানুবাদ - শ্বাহিলি অনুবাদ- ৰুওৱাদ অনুবাদ চেণ্টাৰ

external-link copy
202 : 2

أُوْلَٰٓئِكَ لَهُمۡ نَصِيبٞ مِّمَّا كَسَبُواْۚ وَٱللَّهُ سَرِيعُ ٱلۡحِسَابِ

Hao ndio walio na fungu kwa sababu ya yale waliyoyachuma. Na Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.[1] info

[1] Ali bin Abi Twalib - Mwenyezi Mungu awe radhi naye - aliambiwa: Vipi Mwenyezi Mungu atawafanyia watu hisabu pamoja na wingi wao? Akasema: (Atawafanyia hisabu) Kama anavyowaruzuku pamoja na wingi wao. (Tafsir Ibn Juzy)

التفاسير: